Hodi

Hodi

Desteo

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
494
Reaction score
123
Naomba mnipokee humu. Nimetazama mijadala katika jukwaa la siasa kwa muda sasa na nikatamani kuchangia ila nilikuwa sina access. Pamoja hadi tuyang'oe magamba
 
Cha msingi nikaribisheni tu. Mengine yatajulikana mbele.
 
Nyie ndo tunawahitaji karibu sana..vjana wa Nape hata Hodi huwa hawagongi ila mwisho wa siku huwa wanasepa kama walivyoingia.
 
Back
Top Bottom