Hodi

Hodi

IJIGHA NDIO HOME

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2019
Posts
760
Reaction score
823
Habari zenu jamn mm ni mgeni nipokeeni.nimekua mfuatiliaji wa jf since Niko secondary so hatimae nimefanikiwa kujiunga
 
Angalia vizuri jina la huyo unaemsema na la kwangu yametofautiana kabisa mkuu
 
Karibu sana jf. Kwa hiyo baada ya kumaliza sekondari, kwa sasa uko chuo au mtaani?
 
Karibu sana jf. Kwa hiyo baada ya kumaliza sekondari, kwa sasa uko chuo au mtaani?
Nilivomaliza 4m nilisoma kuna kakozi kapya wanakaita community health nimemaliza mwaka juzi japo sijui kama wataajili saiz napga mishe zangu uku kijijin mkuu
 
Back
Top Bottom