IJIGHA NDIO HOME
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 760
- 823
Habari zenu jamn mm ni mgeni nipokeeni.nimekua mfuatiliaji wa jf since Niko secondary so hatimae nimefanikiwa kujiunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu jamn mm ni mgeni nipokeeni.nimekua mfuatiliaji wa jf since Niko secondary so hatimae nimefanikiwa kujiunga
Ndio nimemaliza mkuuUmemaliza shule?
Nilivomaliza 4m nilisoma kuna kakozi kapya wanakaita community health nimemaliza mwaka juzi japo sijui kama wataajili saiz napga mishe zangu uku kijijin mkuuKaribu sana jf. Kwa hiyo baada ya kumaliza sekondari, kwa sasa uko chuo au mtaani?
Karibu sana.Ndio nimemaliza mkuu
Asante mkuu najua apa ntajifunza mengiKaribu sana.