vee vivian
Member
- Jul 4, 2020
- 25
- 86
Habari za j2 Mimi naitwa Vivian ni member mpya humu nimefurahi kujumuika nanyie nawatakia asubuhi njema nawapenda Mungu awabariki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana Vivian, Jumapili njema na kwako pia.Habari za j2 Mimi naitwa Vivian ni member mpya umu nmefurahi kujumuika nanyie nawatakia asubuhi njema nawapenda mungu awabariki
HahahahaKaribu sana mtumishi.
Kuwa na amani kwa chochote ukiwa na uhitaji usisite PM
Wewe Kichwa Kichafu uko kwenye kamati ya kupokea wageni jf eeh?Karibu sana mtumishi.
Kuwa na amani kwa chochote ukiwa na uhitaji usisite PM
Naona hizi nafasi za kamati ya Mapokezi mnapeana kishiakji. 😅Karibu sana mtumishi.
Kuwa na amani kwa chochote ukiwa na uhitaji usisite PM
Nimebembeleza nimeshindwa, anasema nikipata gari ndio nimtafute😀. Anadai mtoto mzuri kama yeye kupanda daladala ni kumfuja.Uliachana na financial services ?nikiwa kama dada yako naomba umrudie haraka sana
Kama yeye ndio alikuacha mbembeleze arudi la sivyo sitambui wifi mwingine!!!
Hii mimi ndo chair.Wewe Kichwa Kichafu uko kwenye kamati ya kupokea wageni jf eeh?
umeolewa?
Karibu sana
Karibu sana ViviHabari za j2 Mimi naitwa Vivian ni member mpya umu nmefurahi kujumuika nanyie nawatakia asubuhi njema nawapenda mungu awabariki