Hodi

Hodi

Karibu sana maskani. Jisikie huru kabisa hapa ni nyumbani kabisa hivyo usisite kuchangia chochote kile ambacho kinaweza kutuelimisha wengi hapa jamvini kwa namna moja au nyingine. JF ni shule ya aina yake.
 
umeshamwambia kuwa wewe ndo life saver wa JF?
 
Hahahahahah lol!!!!! Hicho ulichokula leo na mimi niwekee kwi kwi kwi kwi...that is a name calling 🙂🙂 lol!!!!!

Last edited by a moderator:
Hahahahahah lol!!!!! Hicho ulichokula leo na mimi niwekee kwi kwi kwi kwi...that is a name calling 🙂🙂 lol!!!!!
ha haaa, mods humu wote rafiki zangu, na huwezi kutuchonganisha... kubwa zaidi naheshimika mno.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
MODS rafiki zako au na wewe ni MOD!? lol!!!! unanijua mimi, ingekuwa amri yangu hiyo name calling wala isingestahili adhabu ya aina yoyote ile, nilikuwa nakuchokoza tu. :behindsofa:

bora uchokozi ako unaishia kwenye kujificha, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom