Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana jamvini.Naomba mnikaribishe wanaJF.
umeshamwambia kuwa wewe ndo life saver wa JF?Karibu sana maskani. Jisikie huru kabisa hapa ni nyumbani kabisa hivyo usisite kuchangia chochote kile ambacho kinaweza kutuelimisha wengi hapa jamvini kwa namna moja au nyingine. JF ni shule ya aina yake.
umeshamwambia kuwa wewe ndo life saver wa JF?
ha haaa, mods humu wote rafiki zangu, na huwezi kutuchonganisha... kubwa zaidi naheshimika mno.....Hahahahahah lol!!!!! Hicho ulichokula leo na mimi niwekee kwi kwi kwi kwi...that is a name calling 🙂🙂 lol!!!!!
ha haaa, mods humu wote rafiki zangu, na huwezi kutuchonganisha... kubwa zaidi naheshimika mno.....
bora uchokozi ako unaishia kwenye kujificha, lol!MODS rafiki zako au na wewe ni MOD!? lol!!!! unanijua mimi, ingekuwa amri yangu hiyo name calling wala isingestahili adhabu ya aina yoyote ile, nilikuwa nakuchokoza tu. :behindsofa: