Hodi

Karibu sana maskani. Jisikie huru kabisa hapa ni nyumbani kabisa hivyo usisite kuchangia chochote kile ambacho kinaweza kutuelimisha wengi hapa jamvini kwa namna moja au nyingine. JF ni shule ya aina yake.
 
umeshamwambia kuwa wewe ndo life saver wa JF?
 
Hahahahahah lol!!!!! Hicho ulichokula leo na mimi niwekee kwi kwi kwi kwi...that is a name calling πŸ™‚πŸ™‚ lol!!!!!

Last edited by a moderator:
Hahahahahah lol!!!!! Hicho ulichokula leo na mimi niwekee kwi kwi kwi kwi...that is a name calling πŸ™‚πŸ™‚ lol!!!!!
ha haaa, mods humu wote rafiki zangu, na huwezi kutuchonganisha... kubwa zaidi naheshimika mno.....
 
Reactions: BAK
MODS rafiki zako au na wewe ni MOD!? lol!!!! unanijua mimi, ingekuwa amri yangu hiyo name calling wala isingestahili adhabu ya aina yoyote ile, nilikuwa nakuchokoza tu. :behindsofa:

bora uchokozi ako unaishia kwenye kujificha, lol!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…