Hodi

Hodi

Karibu mdada,ila chondechonde na barafu wa moyo wangu tonykp. Usijisogeze kwake puliz. Vinginevo risasi zitafyatuka bila mpangilio. Tehe tehe
 
dada valee mi nampenda Tonykp..jamani,,
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana mrembo, kuwa na mimi achana na hawa wababaishaji
 
Back
Top Bottom