Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za humu ndani? nafurahi sana kwa kujiunga na jamii forum.. I hope kuwepo kwangu hapa nitajifunza mambo mengi na kufahamu mambo mengi pia...
Ila sijaielewa forum moja hapa JF.. Forum hii inaitwa MAMBO YA KIKUBWA.....
Hii forum inahusu nini hasa???
Kabla hatujamwelewesha, ngoja kwanza atatue tatizo lake la kutaka kuwa na mwili mkubwa. Mwili kwa maana ya mwili tafadhali.Karibu kijana... Naona umekuja macho yako sehemu moja tu... anyway, wenye ujuzi watakuelewesha