hodi...

hodi...

Moseley

Senior Member
Joined
Jul 10, 2010
Posts
187
Reaction score
98
Habari za humu ndani? nafurahi sana kwa kujiunga na jamii forum.. I hope kuwepo kwangu hapa nitajifunza mambo mengi na kufahamu mambo mengi pia...

Ila sijaielewa forum moja hapa JF.. Forum hii inaitwa MAMBO YA KIKUBWA.....

Hii forum inahusu nini hasa???
 
Karibu kijana... Naona umekuja macho yako sehemu moja tu... anyway, wenye ujuzi watakuelewesha
 
Kabla hatujamwelewesha, ngoja kwanza atatue tatizo lake la kutaka kuwa na mwili mkubwa. Mwili kwa maana ya mwili tafadhali.
 
Back
Top Bottom