hodi

eity 4

Senior Member
Joined
Dec 7, 2014
Posts
148
Reaction score
209
jamani mwenzenu mgeni humu ndani, naomba mnionyeshe vyumba nisije ingia vyumba vya wakubwa
 
jamani mwenzenu mgeni humu ndani, naomba mnionyeshe vyumba nisije ingia vyumba vya wakubwa

Wewe unapiga hodi wakati tayari umefika chumbani???

Piga hodi ukiwa barabarani hata kabla hujafika getini...
 
Karibu taja jinsia yako kwanza

Mgeni bwana karibuu jisikie uko nyumbani,unatumia kinywaji gani?viko laini kwa ajili ya kinadada na vipo vikali kwa ajili ya kinababa,nikuhudumie kipi?
 
Karibu,XXX ndio shemeji yako,mazoea nae sitaki....
 
Karibu pita hadi chumba cha siasa, ndio sebule yako halafu utalala chumba cha elimu. ahsenti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…