Hodihodi mabibi na mabwana.

Hodihodi mabibi na mabwana.

Mccarrick

Senior Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
165
Reaction score
153
Nimekuwa msomaji kupitia dirishani kwa muda mrefu, sasa niamua kujiunga nanyi ili niweze kuchangia japo machache.
 
Kugonga hodi ndio uungwana,karibu ingia ndani.
 
hali yako ndugu huku hakun mabibi na mabwana ni wasiojulikana tu
 
hali yako ndugu huku hakun mabibi na mabwana ni wasiojulikana tu
Shukran mkuu bonyobonyo. Midhali hapa nyumbani hatujawa na msamiati wa gender neutral, itabidi tuendelee kuamini kwamba wanajamvi wote ni aidha mabibi au mabwana. Nashukuru kwa kuniasa.
 
Embu tupe mada 1 uliyowahi kuisoma humu ikakuvutia sana mbaka ukaamua kujoin
 
Back
Top Bottom