SAKO LA NYANI
New Member
- May 17, 2013
- 3
- 1
kama kichwa cha habari kijielezeavyo. naomba mnikaribishe kwa mikono miwili ndugu zangu katika hili jukwaa. Nimekuwa mfuatiliaji wa siku nyingi lakini sikuwai kujiunga hadi leo hii nikaamua kukata shauri. Ni matumaini yangu mtanijenga pia hata kimtazamo katika harakati za ujenzi wa Tanzania ile tunayoifikiria tulio wengu, Tanzania ya maisha bora ambayo bado tunaipigania.