Hodii hodii

Joined
Oct 13, 2014
Posts
15
Reaction score
5
Jamani wapendwa nipokeeni, naipenda sana jf saana yaani siwezi elezea ni kwa kiwango gani.
Naitwa Regina Mbushi
My no. 0753 661798
 
Karibu sana JF...

Habari za Tarime?
 
Yaani unakaribisha wageni usiku wa manane? Utaitikia mashetani, shauri yako

Nimeamka kufanya maombi ndio hamadi mgeni agonga...

Si nikajua ni malaika wa Bwana kaja kuchukua maombi...
 
Nakaa mabwe pande kaka. Na kutembea hadi kituoni ni lisaa limoja na robo. Hadi nipate daladala la kwenda mbagala?
Sasa wewe ndio una hatari ya kukutana na vibwengo nje huko.....usiku wote huu foleni ya wapi tena hahah!!!
 
Hahaha aisee kuna maeneo ukiishi inabidi usiwe muajiriwa atiii...

Nakaa mabwe pande kaka. Na kutembea hadi kituoni ni lisaa limoja na robo. Hadi nipate daladala la kwenda mbagala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…