Simba wa vita
Member
- Jun 3, 2023
- 58
- 144
Ahsante sana kiongoziKaribu sana JamiiForums...
Ahsante sana kiongozi nipost na picha kabisaa au huku mnafanyejeMwezi huu tumepata new members wengi! Ni jambo jema kwakweli, karibu sana seat bado zipo!
Ahsante sana nimefika mkuuKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Mmmh nataka kusema ila basi π₯°π₯°ππ
Sema tu mgeni wetu π€£πMmmh nataka kusema ila basi π₯°π₯°
Mgeni mwenyewe huyu ana mambo mengi kweli ππππSema tu mgeni wetu π€£π
Karibu mgeni utuonyeshe mambo π€£π€£π€£π€πMgeni mwenyewe huyu ana mambo mengi kweli ππππ
Ahsante mwenyeji wangu kwakweli Nina bahati Mimi Mmatengo wa Chipole kupokelewa na Lady nakufa mieKaribu mgeni utuonyeshe mambo π€£π€£π€£π€π
Nitakuonyesha mambo mwenyeji wangu usijali, Bado nipo busy na tumbili shambani hukuπππKaribu mgeni utuonyeshe mambo π€£π€£π€£π€π
Huko Facebook hawajambo?
Ukitaka picha ingia huku.πHawajambo boss, kinachonitatiza huku hakuna picha mbona?
ππππUkitaka picha ingia huku.π
Selfika na JF: Snap it. Show it
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na...www.jamiiforums.com
Hamna hata dalili ya mgeni hapa, maana sio kwa mikato hii...π€£Sema tu mgeni wetu π€£π
Akuonyeshee tu huko PM tafadhali....π€¨Karibu mgeni utuonyeshe mambo π€£π€£π€£π€π