HFOOO
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 683
- 644
- Thread starter
- #21
Hahahhahahah hatari nimefurahi sana nitafika one day japo nimelala mara kadhaa huko kwenye vyumba vya dable bed 80kKARIBU ORION HOTEL tukuhudumie. ni kati kati ya mji. jiranj na stesheni ya treni, karibu na vyuo: uhaziri na TTC. waweza kubarizo jioni na kujisigeza chuoni kubadili mawazo na wanachuo jinsi zote. wadada wakarimu sana; siku 4 hazutakutosha kwa ukarimu wao (kumbuka hapo ndio utakutana na wanyamwezi-pacha wa kulee kwa wabonde)
hotel ina usalama, fanya uwezavyo utembelee mitaa ya kanyenye, isevya na minazi mikinda. huko ndiko utajua mapya ya tabora.
BONEKAGA NGALU!!!