Hodii Tabora

Hahahhahahah hatari nimefurahi sana nitafika one day japo nimelala mara kadhaa huko kwenye vyumba vya dable bed 80k
 
Kwa hiyo kwenye hivyo vyuo kuna totozi za kumwaga
 
Hahhahahahha naona wasukuma wanapita road na mikaa mkuu
Wasukuma ni watu poa sana mkuu! Hawana makuu.
Nilikuwa hapo tabora mwaka 2017, kuna watoto wa kinyamwezi + usomali fulani amazing.
Inahitajika conection kuwapata, tofauti na hapo utawapata waliotumika sana.
Kondomu muhimu
 
Hapo umesema mkuu ngoja nitafute mwenyeji
 
Pale ambapo watu wanapromoti mjii wao kwa vitu vya kawaida katika sehemu kavu kama ile mkuu ukitaka watoto wabichi nenda maeneo ya kanda Miembeni maeneo ya veta
 
Raha ya tabora bhana watoto wa kimya mwezi huwa hawajui kusumbua mtu akiwahitaji na kipindi cha meko utawapata hadi kero wanapenda starehe na vitu vyepesi vyepesi tatizo tabora ni mmoja tu joto likianza kama uko selfu konteina hapo sawa
Ila usisahau kwenda sehemu inayoitwa shimoni pako poa mkuu
Hao wanao kuambia sijui isevia ipuli na relini watakupoteza mkuu
 
Ivi jamani kutoka Dar hadi Igunga pana umbali gani kwa kusafiri kwa basi,nina safari ya kwenda uko Igunga wiki ijayo
 
Ivi jamani kutoka Dar hadi Igunga pana umbali gani kwa kusafiri kwa basi,nina safari ya kwenda uko Igunga wiki ijayo
Utatoka Dar asbh saa 12 utaingia Igunga si chini ya saa 12 tochi ni nyingi
 
Nikitumia usafiri binafsi naweza kutumia masaa mangapi
Hesabu unaweza ku drive massage mangapi kutoka Dar to Moro then Moro to Dom then Dom to Singida kwa speed yako unayoijua. Maana Moro to Dom haitofautiani sana na Dom to Singida kote ni three hours kwa basi. Kipande Cha Singida Igunga sio kirefu Igunga Ni Wilaya ya mkoa wa Tabora inayopakana na mkoa wa Singida...ukifika Misigiri unashuka sekenke unaingia sherui then unatafuta Igunga kwa uraini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…