Hodii wana JF

Hodii wana JF

chidayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
445
Reaction score
894
Mimi ni mgeni humu! Nimejiunga rasmi leo baada ya kuvutiwa na mijadala ya jukwaa la mahusiano pamoja na jukwaa la siasa! Jinsia yangu n ME
 
Karibu sna Mkuu kwny kisiwa cha maarifa..
 
Karibu sana mgeni,unatumia kinywaji gani?
 
Mimi ni mgeni humu! Nimejiunga rasmi leo baada ya kuvutiwa na mijadala ya jukwaa la mahusiano pamoja na jukwaa la siasa! Jinsia yangu n ME
Ukitaka ukaribishwe vizuri zaidi ya hapo wee rushia na picha yako uone utakavyopongwezwa kwa ujio wako!!!
 
Mimi ni mgeni humu! Nimejiunga rasmi leo baada ya kuvutiwa na mijadala ya jukwaa la mahusiano pamoja na jukwaa la siasa! Jinsia yangu n ME
karibu sanaaa...ila umechelewa kidooogo...ulkua wapi sikuzote jamani!😉
 
Mimi ni mgeni humu! Nimejiunga rasmi leo baada ya kuvutiwa na mijadala ya jukwaa la mahusiano pamoja na jukwaa la siasa! Jinsia yangu n ME
hauna mdogo wako ambaye ni KE?
 
Back
Top Bottom