Hodii wanajamii

Hodii wanajamii

Kiwi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2009
Posts
1,054
Reaction score
991
Hamjambo wanajamii? Nimefurahi kujiunga katika ukumbi huu wa Great Thinkers. Natumaini sote tutafaidika kwa michango mbalimbali. Nawatakia kila la heri kwenye kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu.
 
Karibu sana Kiwi. Upo pande za New Zealand nini?
 
karibu sana feel at home hapa ndani i salute nimepata kila nilichokua nahitaji kukifahamu ..
 
Back
Top Bottom