luvie pearl
Member
- Jun 20, 2019
- 91
- 65
Habarini wapendwa, mimi ni mgeni humu ila nafurahi kujumika nanyi naombeni mnipokee. Asanteni na mbarikiwe nyote...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu karibu sana!!Habarini wapendwa, mimi ni mgeni humu ila nafurahi kujumika nanyi naombeni mnipokee. Asanteni na mbarikiwe nyote...!!
Asantemkuu karibu sana!!
Anhaa..! sawaSikuhizi huwa hatukaribishi.
mkuu..mgeni lazima akaribishwe jaman angalau ajiskie nyumbani[emoji2]Sikuhizi huwa hatukaribishi.
Sawakaribu sana mgeni sasa hebu attache picha yako weka namba ya simu halafu uje pm
Anhaa..! sawa
mkuu..mgeni lazima akaribishwe jaman angalau ajiskie nyumbani[emoji2]
AsanteTuko pa1 mkuu!!
Heheh changamka sasa luvie babe[emoji3]Nakuomba pm kabla sijakuunga kwenye zile theard nyeti unazopenda wewe
Kwa kweli fursa [emoji28]Heheh changamka sasa luvie babe[emoji3]
NashukuruKuanzia Leo we ni Mkuu
HehehehKwa kweli fursa [emoji28]
Jitahidi kuandika Kiswahili fasahaHabarini wapendwa, mimi ni mgeni humu ila nafurahi kujumika nanyi naombeni mnipokee. Asanteni na mbarikiwe nyote...!!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Jitahidi kuandika Kiswahili fasaha