Hodii

Hodii

Mbona mwanza kunishtua, au mwataka chakachua hehehe
 
Mie mgeni wa jibu, lakini napata mashaka kama jibu staweza usumbufu wa mgeni. Siunajua mgeni nisawa na kipofu wakati wote ataka kushikwa mkono. Sasa kama jibu hutochoka mapema mpaka mwisho wa safari niambie mapema.
 
Back
Top Bottom