Hodiii Dar, naomba mwenyeji Buguruni jamani

Hodiii Dar, naomba mwenyeji Buguruni jamani

Nipo safarini nakuja Dar kuwapa hi na utalii wa ndani Buguruni moja hiyo mwenyeji ajitokeze basi coz mi si mwenyeji sana katika hili jiji zaidi ya Mwanza
Watu wa dar hua wanapokea simu zako ukiwa unaanza safari ukishafika hamna mwenyeji wako anapokea tena simu yako so we jiandae kuwa mtoto wa mtaani
 
Nipo safarini nakuja Dar kuwapa hi na utalii wa ndani Buguruni moja hiyo mwenyeji ajitokeze basi coz mi si mwenyeji sana katika hili jiji zaidi ya Mwanza
Umetumiwa Tena nauli sio..!!
 
Wadau wanasema wanaomba picha zako pm kwanza wasije kupoteza muda wao na pesa kukipokea kijeba
 
Wewe ni kahaba

Buguruni utalii?huu lazima utakuwa utalii wa ndani!
 
457212.jpg
 
Buguruni na mvua hizi usipime! Nakunywa kahawa hapa sokoni karibu
 
Back
Top Bottom