Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Haya, basi sawa...Mkuu nimeingia humu juzi nimeruhusiwa kujitambulisha leo kipindi chote nilikuwa napitia tu post za wenzangu ambazo nimegundua zinaktwa treads, nimegundua pia huku neno Mkuu linatumika sana kwa baadhi ya post nilizopotia Jana na juzi baada ya kujiunga nimegundua pia viongozi wa uku wanaitwa mods nimegundua Mengi huku ni tofauti kabisa na badoo, fb, inst n.k