Hodiii hodiiiii hodiiiii

Haya, basi sawa...
 
Mkuu unaelewa maana ya ID yako?? Unamjua sizonje?? Unamjua makondakta na madawa??

Alafu hiyo ccm hapo juu futa
 
Ndio hivyo,kuna mwingine huko kalalamika pm inamzingua kwenye id hiyo(aliyotumia kulalamikia) ila kwengine inakubali
Huwa jamaa wa namna hiyo wanajichanganya kweli, bila kujua ni id ipi anaitumia kwa mda huo, mwisho inakuwa ni rahis kumgundua....
 
Mkuu unaelewa maana ya ID yako?? Unamjua sizonje?? Unamjua makondakta na madawa??

Alafu hiyo ccm hapo juu futa
Sizonje ni ule wimbo wa Mr Mpoto ambao naupenda sana

Madawa ni Tiba kwa kiumbe hai chochote kinachoumwa au kinahitaji kupata kinga
 
Aisee kazi ipo. Jukwaa la MMU wamejaa member wengi wapya,unakuta mtu kajiunga mwez huu ila mjuzi kweli,sasa cha kujiuliza anakimbia kivuli chake?
Huwa jamaa wa namna hiyo wanajichanganya kweli, bila kujua ni id ipi anaitumia kwa mda huo, mwisho inakuwa ni rahis kumgundua....
 
Aisee kazi ipo. Jukwaa la MMU wamejaa member wengi wapya,unakuta mtu kajiunga mwez huu ila mjuzi kweli,sasa cha kujiuliza anakimbia kivuli chake?
[emoji23] [emoji23] kule ndio tabu, hasa thread za kutafuta mchumba/mke/mume, unakuta mtu mmoja id 7 ana nyuzi za namna hiyo!
 
Ahsante Mkuu
Ila app kwenye wake za watu nitajuaje kuwa huyu ni mke wa mtu
Ukitembelea profile yake kwa chini kulia kama una kuja kusho upande Wa juu kutoka juu yake alafu katikati karibu na middle hapo hapo utaona kwa mbali kuna kichupa kidogo cha maziwa. Basi ujue huyo ni mke wa mtu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sijaelewa bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…