Hodiii jamani wenyeji mpo

Hodiii jamani wenyeji mpo

jitukubwalao

Senior Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
194
Reaction score
161
Nami naingia rasmi jukwaani naomba mnipe maujuzi ya kupata raha kwani starehe huku ndio kwenyewe
 
Raha za ulimwengu huu unajua tena stress duniani haziishi unapokutana na watu wengine Wanakupa faraja
 
Nashukuru master nami nimekaribia, asanteni sana kwa kunipokea
 
Back
Top Bottom