Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafrah xana kuungana nanyi.kwan naamin h ni bahar iliyojaa mafanikio na mambo meng mazur.nimejifunza meng mazur na kuelewa mambo meng.Aman iwe nany daima.
Nafrah xana kuungana nanyi.kwan naamin h ni bahar iliyojaa mafanikio na mambo meng mazur.nimejifunza meng mazur na kuelewa mambo meng.Aman iwe nany daima.
Asante mkuu..nijifunze kuandika nini?
Naombeni kujua..ukweli nimeangaika kutafuta ni jinsi gani ya kutumia jf sijafanikiwa.. baada ya utambulisho what next...ili niweze kupost thread na kujangia hoja mbalimbali..naombeni msaada wenu waungwana.