Hodiii!

Hodiii!

handsome jf

New Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Mko poa? Jamani mm ni mgeni wenu nipokeeni.

Nilikuwa napita pita kwa nje tu Leo nimeona nami niingie kwenye jumba lenu humu.

Napenda kulala pa zuri, kula vizuri, kukaa pazuri, kuongea vzr...nipokeeni
 
Fuata sheria hizi

1. Ukileta habari ya uongo itafutwa au utagewa ban.

2. Mambo ya pm ukileta hadharani ni ban, matusi pia ban.

3. Kuandika kwa kifupi kama uko facebook siyo kosa ila utatukera. Mfano Xaxa xory, ko, k, nko pk yang n.k.

4. Nakubatiza jina kuanzia leo utaitwa mkuu.

5. Kila mtu anapoingia hutakiwa kutuma picha, tuma picha yako.
 
Hahaa naona unamchuuza mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom