Hodiii

Hodiii

Nyamizi

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2009
Posts
9,186
Reaction score
13,757
Wenyewe mpoo? Hodi mpaka ndani,wanajamii,Invisible naomba hifadhi tafadhari.
 
Mhhh, Nyamizi ndani ya JF.
Karibu sana mwenye jamvi.
Hilo jina lako, kali sana, lanikumbusha shangazi.....
 
Mhhh, Nyamizi ndani ya JF.
Karibu sana mwenye jamvi.
Hilo jina lako, kali sana, lanikumbusha shangazi.....
Hivi ndugu yangu sikonge upo mbona kimya mimi kwa sasa nipo Sikonge mjini Asali kwa wingi na uyoga lakini pia natumia frusa hii kumkaribisha huyo ndugu yetu Nyamizi karibu saana
 
Sai,
Huyo dada Kipepe au Kapemba? Mie hapo kakosekana NYANSO na Muilwa, timu iwe imetimia.
Najua sikonge ulikuwa unataka kuandika MWILWA Na siyo MUILWA kama ulivyoandika
 
Karibu, ingia mpaka ndani. Wana JF tupo twategemea mengi mazuri toka kwako!
 
Mhhh, Nyamizi ndani ya JF.
Karibu sana mwenye jamvi.
Hilo jina lako, kali sana, lanikumbusha shangazi.....

Sikonge umeme wa mgao utatumailza safari hii,tatizo ni pale unapotaka kuingia kijiweni unakuta Idrissa kachukua umeme wake.Pengine mimi ndio shangazi mwenyewe,nikikwambia jina langu jingine ni Mageni,bado hujahakikisha tu.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
 
Back
Top Bottom