T 2015 CDM
Member
- Sep 6, 2012
- 39
- 10
Jamani nimerudi nilipotea kitambo sanaaaaaa,,,,,, nimejea na niko tayari kwa mapambano liwalo na liwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulipotelea wapi? Karibu tena.Jamani nimerudi nilipotea kitambo sanaaaaaa,,,,,, nimejea na niko tayari kwa mapambano liwalo na liwe
Nilipata matatizo mkuu kazini nikawa chini ya uangalizi maalumu wa STK ndo nimeachiwa sasa baada ya uchunguzi kuonyesha sikuhusika na ku subbotage kampuni mazeeeulipotelea wapi? Karibu tena.
Asante saba Bagah tuko pamoja kamandahello, tunabarikiwa na uwepo wako, amani iwe nawe!
Asante sana Ritzkaribu tena mkuu.
Pamoja sana Globu nashukuruKaribu sana Mkuu.