Hodiiii hodiiiii

Hodiiii hodiiiii

T 2015 CDM

Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
39
Reaction score
10
Jamani nimerudi nilipotea kitambo sanaaaaaa,,,,,, nimejea na niko tayari kwa mapambano liwalo na liwe
 
hello, tunabarikiwa na uwepo wako, amani iwe nawe!
 
ulipotelea wapi? Karibu tena.
Nilipata matatizo mkuu kazini nikawa chini ya uangalizi maalumu wa STK ndo nimeachiwa sasa baada ya uchunguzi kuonyesha sikuhusika na ku subbotage kampuni mazeee
 
Back
Top Bottom