Hodiiii wana jf

Hodiiii wana jf

Chapchap

New Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Naomba mnipe ushirikiano wenu.ninapenda sana jf na nimekuwa nikifuatilia michango mbalimbali.nakiri jf ni buridani sana !
 
Jamani mimi ni mgeni kwenye jamvi na niweke sawa mimi ninaipenda M4C
 
Jamani mimi ni mgeni kwenye jamvi na niweke sawa mimi ninaipenda M4C
Umekuja vibaya. Majority wa huku ni wapenda amani, hatupendi maandamano wala vurugu za hicho chama!
 
Back
Top Bottom