MTOTOMTAMU
Member
- Jan 13, 2013
- 67
- 5
HI nawasalimu wanaJF!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haina shida mkuuKaribu sana MTOTO MTAMU, mimi pia sio mwenyeji sana ila utawakuta wenyewe watakujulisha kona zote za jumba hili. Ukitaka tuonane uwe unakuja basi kwenye kijiwe cha mabisiness na wajasiliamali tubadilishane mawazo. Sasa mbona uko mikono mitupu au ndo umeshamaliza zawadi zote? Si unajua mgeni njoo mwenyeji one!