Hodiiii

Hodiiii

Karibu sana MTOTO MTAMU, mimi pia sio mwenyeji sana ila utawakuta wenyewe watakujulisha kona zote za jumba hili. Ukitaka tuonane uwe unakuja basi kwenye kijiwe cha mabisiness na wajasiliamali tubadilishane mawazo. Sasa mbona uko mikono mitupu au ndo umeshamaliza zawadi zote? Si unajua mgeni njoo mwenyeji apone!
 
Karibu sana MTOTO MTAMU, mimi pia sio mwenyeji sana ila utawakuta wenyewe watakujulisha kona zote za jumba hili. Ukitaka tuonane uwe unakuja basi kwenye kijiwe cha mabisiness na wajasiliamali tubadilishane mawazo. Sasa mbona uko mikono mitupu au ndo umeshamaliza zawadi zote? Si unajua mgeni njoo mwenyeji one!
haina shida mkuu
 
Back
Top Bottom