Hodiiiii!!! Habar zenu?

Karibu jukwaa la siasa
teh teh teh , mkuu unamkaribisha mdada mrembo jukwaa la siasa, una mpango wa kumpasua kichwa??

Ataweza kubishana na kina Kiranga na Ritz na Faiza Foxy??

We inaonekana humpendi mgeni wetu aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…