Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
teh teh teh , mkuu unamkaribisha mdada mrembo jukwaa la siasa, una mpango wa kumpasua kichwa??Karibu jukwaa la siasa
Ataweza kubishana na kina Kiranga na Ritz na Faiza Foxy??
We inaonekana humpendi mgeni wetu aiseeee