Hodiiiii wana JF

Hodiiiii wana JF

Fida Mwaka

New Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Habari za leo wana JF kwanza kabisa namshukuru Mungu kwakunipa kibali cha kujiunga nanyi katika jukwaa hili.

Zaidi sina chakusema ila tu ninaomba ushirikiano wenu katika mda tutakao kuwa wote hapa jamvini.

Ahsanteni!!
 
Back
Top Bottom