Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daa!! Mbona mm nazeekea humu hunipi cheo? Au kwa vile mm sio wa koromije?Karibu sana Mr Weru.
Kwa niaba ya wana JF wote naomba pia umlete na Mrs. Weru kwenye Forum yetu, MMU kule wanamuhitaji sana.
Na nimekuzawadia rasmi cheo cha Mkuu, ukiona mtu anakuita humu mkuu Mr.Weru, usishangae maana nikikupa cheo humu ndani, hakuna wa kukunyang'anya.