Hodiiiiii!Hodiii!Hodi wenyejiiiii!

Hodiiiiii!Hodiii!Hodi wenyejiiiii!

Descartes

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,765
Reaction score
1,663
Natumaini wote mpo salama.Ninawasalimu nyote kwa mpigo kwa kilugha cha kwetu ambacho mkubwa ama mdogo husalimia kwa maneno hayohayo...yaani....haibagui kama salamu ya Kiswahili:Shikamoo!
 
Mkuu Descartes ungeweka hicho kilugha chako kinachofanana na shikamoo!mimi najua viluga 24 labda chako ni kimojawapo.
 
Last edited by a moderator:
Sangomwile:Ninashukuru kwa ukarimu wako.Kwakuwa umenikaribisha tayari naamini tutaongea tu hicho kilugha changu wakati tumetulia barazani
 
Last edited by a moderator:
Marhabaaaaa

Natumaini wote mpo salama.Ninawasalimu nyote kwa mpigo kwa kilugha cha kwetu ambacho mkubwa ama mdogo husalimia kwa maneno hayohayo...yaani....haibagui kama salamu ya Kiswahili:Shikamoo!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hekimatele:umeitika kwa kilugha gani sasa?haha....pamoja saanaa mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom