Hodiiiiii humu ndani,jaman mi mgeni naombeni mnipokee na mnipe mwongozo....Akhsante.

Hodiiiiii humu ndani,jaman mi mgeni naombeni mnipokee na mnipe mwongozo....Akhsante.

Hizo mbwembwe tu,asante kwa kunipokea
 
Baba una midadiii!! Ila karibu ivo ivo na midadi yako

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Huyu jamaa itakuwa ana account humu kama tisa hiv
 
Hizo mbwembwe tu,asante kwa kunipokea
Ila kama ni mbwembwe zisiziiidi sana na kupotosha maana kwa wasomaji wako. Unajua wakati mwingine makosa kama hayo hukuletea comments zenye maudhi hivyo vyaweza kukutoa katika mstari wa mawazo unayotaka kuyawasilisha.
 
Mleta uzi iyo gari kwny avatar yako inauzwa bei gani mkuu??

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Sijakuekewa una maanisha nn melkiory
 
Hamna bhana ninayo moko tu...@SAMTZ
 
1460052870957.jpg
 
Back
Top Bottom