Hodiiiiii humu ndani,jaman mi mgeni naombeni mnipokee na mnipe mwongozo....Akhsante.

Pia uje na akili yako tu, tabia utaikuta humuhumu ndani!!
 
Mleta uzi iyo gari kwny avatar yako inauzwa bei gani mkuu??

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Hiyo gari ni pesa ndogo tu..Ni $2500
 
Unaonaje ukinifafanulia ww????
Jamaa atakufafanulia maana ya BAN, halafu mimi baadae nitakuja na dondoo mbili tatu kuhusu wanaume wa Dar, najua wewe mgeni huyajui haya mambo!
 
Karibu mkuu hapa ndiyo mpango mzima ukiona una mawazo, hasira,na uchovu ingia hapa utoka ukiwa safi
 
Jamaa atakufafanulia maana ya BAN, halafu mimi baadae nitakuja na dondoo mbili tatu kuhusu wanaume wa Dar, najua wewe mgeni huyajui haya mambo!
Funguka basi,vp kuhusu wanawake wa dar?????
 
Karibu mkuu hapa ndiyo mpango mzima ukiona una mawazo, hasira,na uchovu ingia hapa utoka ukiwa safi
Huwezi kuamini toka nimeingia humu,nimekuwanukicheka kinoma coz kila mtu na akili yake humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…