Hodiiiiiii mpaka ndani!

punguza kuwika rafiki ila karibu sabna sana rafiki tena sana wakikuchokoza njoo sema hapa kwangu

Nitafanya hivyo! Mimi nimetoka shamba nshazoea kuwika, Kwani Majogoo ya humu ndani huwa hayawiki?????
 
Last edited by a moderator:
Karibuuuuuu mpaka ndani

Asanteeeee! ila ndani pakubwa bibie, Kuna Sebureni, Jikoni, Store, bafuni na Chumbani! sijui wewe unanikaribisha mpaka wapi?
 
Si ndo hapo! manake Sungura1980 ananiogopesha, hafu ukizingatia kunakua na makubaliano ya wawili tu, sasa huko kwa Kova tutafikaje?

Ile meseji yako kwamba ukiona tu Tetea .........ndio iliniogopesha!Kwamba ukiona tu......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…