HODIiiiiiii MGENii

HODIiiiiiii MGENii

Kwanini umeamua rasmi kuzama jukwaa hili?

swali zuri mkuu baada ya kupata elimu kwenye majukwaa mengine nimeona nijiimarishe kwenye upande mwingine wa maisha MMU ili niweze pata ujuzi wa mambo mbalimbali , najua lazima nitapata kwa yanayonifaa na yasiyonifaa ni jukumu langu kuyachambua ila nina imani yapo mengi ya kunifaa maana ulimwengu wa MMU huwa ni mpana sana na hamna aliye na ujuzi uliojitosheleza, mimi kwangu naamini hata kungwi ana kungwi wake na anamfunda vilivyo.....
 
Back
Top Bottom