HODIIIIIIIIII

HODIIIIIIIIII

ilangasika

Member
Joined
Aug 17, 2017
Posts
19
Reaction score
8
jamani mie mgeni katka forum hii kuna muda niliwahi kujiunga ila kasimu kangu kaka haribika, Sasa nimerudi ila sijui vitu vingi saana humu, ningependa kupata maneno mhimu yanayotumika humu pia na maana zake kwa lugha rahisi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri wahenga watakufikia...
Karibu sana
 
Karibu wala usijali wapo vijana wenzio watakuelekeza. Lugha yoyote ile mradi ielewe kwa wengi.
 
Back
Top Bottom