ilangasika
Member
- Aug 17, 2017
- 19
- 8
jamani mie mgeni katka forum hii kuna muda niliwahi kujiunga ila kasimu kangu kaka haribika, Sasa nimerudi ila sijui vitu vingi saana humu, ningependa kupata maneno mhimu yanayotumika humu pia na maana zake kwa lugha rahisi zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app