ilangasika
Member
- Aug 17, 2017
- 19
- 8
Karibu sanajamani mie mgeni katka forum hii kuna muda niliwahi kujiunga ila kasimu kangu kaka haribika, Sasa nimerudi ila sijui vitu vingi saana humu, ningependa kupata maneno mhimu yanayotumika humu pia na maana zake kwa lugha rahisi zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha yako tafadhalijamani mie mgeni katka forum hii kuna muda niliwahi kujiunga ila kasimu kangu kaka haribika, Sasa nimerudi ila sijui vitu vingi saana humu, ningependa kupata maneno mhimu yanayotumika humu pia na maana zake kwa lugha rahisi zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante mkuu hao wahenga sasaaa mhhhhSubiri wahenga watakufikia...
Karibu sana
Shaka ondoa, watakuja kukukagua tu...
Kwajibu hili, yatosha kukung'amua kwamba wewe ni mwenyeji...[emoji13] [emoji13]
mhhhhh hapana mkuuKwajibu hili, yatosha kukung'amua kwamba wewe ni mwenyeji...[emoji13] [emoji13]
Hilo neno (mkuu) umejuaje kama linatumika kwa wingi humu Jf..!?