Hodini jamani

Hodini jamani

Mi nakuja mwenyewe maskani kwako Cute naa
 
Last edited by a moderator:
Wana jamii mm ni mwanachama mpya nahtaji mnikaribishe damaan lv u ol!

Cute naa usijali nina kazi,mshahara milioni 2.5,nina gari 2 nitakupa 1 nina nyumba.alafu ni nina pipe kubwa,yenye nguvu alaf ina joto kali,ha! ha! karibu swt.haya ni pm namba ya simu.
 
Umevutiwa na nini ndani ya jukwaa hili had umepiga hodi humu
 
Cute naa usijali nina kazi,mshahara milioni 2.5,nina gari 2 nitakupa 1 nina nyumba.alafu ni nina pipe kubwa,yenye nguvu alaf ina joto kali,ha! ha! karibu swt.haya ni pm namba ya simu.

Pipe ya kumwagilia mboga ama ....sijasikia kama anaomba mwenye pipe kubwa teh teh!!!
 
Kama unavyojua mgeni siku ya kumi......

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mh haya mgeni karibu ,umesema uko single?kama ni kweli kabila langu linaruhusu kuoa mke wa pili naruhusiwa?
 
Unakumbuka njia uliyojia???? maana kama umeisahau ukikutana na Mamluki wa humu ndani ukubali kila kitu

ha ha ha ha ha haaaaa!! Karibu saana mm ni rafiki yako wa kwanza
 
Back
Top Bottom