Causin Member Joined Apr 28, 2010 Posts 41 Reaction score 0 Apr 29, 2010 #1 :confused3: hello wana jf,nimekuja naombeni maelekezo wangwana,inakuwaje??
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,947 Reaction score 4,470 Apr 29, 2010 #2 Jacqueline Mick said: :confused3: hello wana jf,nimekuja naombeni maelekezo wangwana,inakuwaje?? Click to expand... Karibu sana jisikie upo nyumbani. Cha kufanya pitia pitia sheria za JF kwanza.
Jacqueline Mick said: :confused3: hello wana jf,nimekuja naombeni maelekezo wangwana,inakuwaje?? Click to expand... Karibu sana jisikie upo nyumbani. Cha kufanya pitia pitia sheria za JF kwanza.
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Apr 29, 2010 #3 karibu besti...Umefanya uamuzi sahihi kuja hapa na wala hutajuta!Hakikisha tu hugombani na mwajiri wako.
karibu besti...Umefanya uamuzi sahihi kuja hapa na wala hutajuta!Hakikisha tu hugombani na mwajiri wako.
Causin Member Joined Apr 28, 2010 Posts 41 Reaction score 0 Apr 29, 2010 Thread starter #4 Thanx fidei nimekupata,upande huo hakuna prob,labda kama kuna la zaidi.
Causin Member Joined Apr 28, 2010 Posts 41 Reaction score 0 Apr 29, 2010 Thread starter #5 asante wangu,nashukuru kwa ushauri wake,ila naamini mimi sio mgonvi hata kidogo
K Katabazi JF-Expert Member Joined Feb 18, 2007 Posts 353 Reaction score 22 Apr 29, 2010 #6 Fidel80 said: Karibu sana jisikie upo nyumbani. Cha kufanya pitia pitia sheria za JF kwanza. Click to expand... Duuu! E bwana eee, sisi tuliongia bila kubisha hodi, tuna kazi! Sheria gani kali kuliko zote nianze kujitayarisha kama nitoke au niingie mzima mzima!
Fidel80 said: Karibu sana jisikie upo nyumbani. Cha kufanya pitia pitia sheria za JF kwanza. Click to expand... Duuu! E bwana eee, sisi tuliongia bila kubisha hodi, tuna kazi! Sheria gani kali kuliko zote nianze kujitayarisha kama nitoke au niingie mzima mzima!