hodini ladies and gents!!!!!!!.........

hodini ladies and gents!!!!!!!.........

Causin

Member
Joined
Apr 28, 2010
Posts
41
Reaction score
0
:confused3: hello wana jf,nimekuja naombeni maelekezo wangwana,inakuwaje??
 
karibu besti...Umefanya uamuzi sahihi kuja hapa na wala hutajuta!Hakikisha tu hugombani na mwajiri wako.
 
Thanx fidei nimekupata,upande huo hakuna prob,labda kama kuna la zaidi.
 
asante wangu,nashukuru kwa ushauri wake,ila naamini mimi sio mgonvi hata kidogo
 
Karibu sana jisikie upo nyumbani.
Cha kufanya pitia pitia sheria za JF kwanza.

Duuu! E bwana eee, sisi tuliongia bila kubisha hodi, tuna kazi! Sheria gani kali kuliko zote nianze kujitayarisha kama nitoke au niingie mzima mzima!
 
Back
Top Bottom