Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mgeni nduguzanguni naomba mnikaribishe natuendelee kuwa wote hapa jamvini, nyumbani kwa watu makini. Asanteni.
Mie mgeni nduguzanguni naomba mnikaribishe natuendelee kuwa wote hapa jamvini, nyumbani kwa watu makini. Asanteni.
Mzee mimi ni mgeni katika uwanja huu wa JF ila ndo nimejiunga sasa naomba munitambue na kuniunganisha na wana JF hasa kwanye yale mambo ya kikubwa ili niweze kupata uhondo huo tafadhali sana