njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Naam wasudan hali ni tete,wanajua kwamba watapigwa kipigo cha mbwa koko tarehe 8 kama wasudan wenzao zalan lakini wanajikaza tu kisabuni.
Sasa jumatano ya week ijayo wanasafiri kuweka kambi ya muda mfupi lubumbashi na wakiwa huko watacheza na team mbovu ya TP Mazembe.
Hawana tofauti na makolo wao kila siku kusafiri ila wakija taifa Mayelle anawagonga tu
Team kubwa haina haja ya kusafiri na kupaniki labda iamue kucheza na kmc au friends rangers kuchangamsha miguu ila level yake kwa sasa ni kucheza friend matches na teams kama Zamalek, Raja, Berkane.
Poleni sana Al Hilal kwa muhaho huu, pole sana Ibenge kibarua kinaota nyasi soon